Rayc akiwa hospitali |
Taarifa kutoka katika ukurasa wa face book wa xxl clouds fm msanii wa muziki hapa nchini
Rehema chalamila ama Rayc amelazwa katika hospitali ya mwananyamala jijini Dar akisumbuliwa na ugonjwa wa dengue. Taarifa hiyo isiyokuwa na maelezo zaidi imeambatanishwa pamoja na picha inayomuonesha msanii huyo akiwa amelala katika kitanda cha hospitali. Bongo20 inendelea kufuatilia ili kujua kinachoendelea
Post A Comment: