JOH MAKIN YUKO FITI NA ANAENDELEA NA MISHE KAMA KAWA
Hali ya msanii Joh
Makin imeimarika na sasa yupo na anaendelea na shughuli zake.
Akizungumza katika
mahojiano na mwandishi wetu, mdogo wa msanii huyo Nick wa pili amesema Joh
amepona na anendelea na mishe kama kawaida.
“yaah, ni kweli Joh
alikuwa anaumwa lakini sasa hivi amekwishapona na anaendelea na mishemishe kama
kawaida” alisema Nick.
Hivi karibuni
kuliripotiwa kuwa msanii huyo alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya malaria hali
iliyomfanya kulazwa katika hospitali moja huko Dar Es salam.
Post A Comment: