SHILOLE: WALIOSEMA MIE NIMESEMA MUZIKI UMEJAWA USHIRIKINA NI WAONGO
Akizungumza leo hii katika mahojiano na muandishi wetu Shilole amesema taarifa
hizo sio za kweli na kuwa walioandika hivyo waliandika kwa lengo la kumchafua.
Amesema hajawahi
kufikiria kuwa katika sanaa kuna ushirikina na badala yake anaamini matunda ya
sanaa hutokana na juhudi tu za mtu.
Hivi karibuni msanii
huyu alidaiwa kusema kuwa sanaa imejawa na ushirikina wasanii wanarogana na
hata kupoteza maishakwa hivyo yeye anataka kuachana na gemu hiyo.
Post A Comment: