MTOTO WA MICHAEL JACKSON ASEMA
ANAMCHUKIA JUSTINE BIEBER
Mtoto wa kike wa aliyekuwa mwanamuziki na star duniani kote Michael
Jackson,amesema anamchukia mwanamuziki justine bieber.
Kwa mujibu wa mtandao
wa Tmz wa nchini Marekani msichana huyo anayejulikana kwa jina la Paris Jackson anamchukia Bieber kutokana na kutozungumza
chochote juu ya wasichana walio tweet kujidhuru kwa kujikata visu wenyewe kama ishara ya mapenzi kwake.
Binti huyo ameeleza
kuwa Bieber ndiye roll model wa
wasichana wengi wa kike na anatakiwa
kutumia nafasi hiyo kuwaondoa wasichana hao katika hali hiyo lakini badala yake
amekuwa akitumia muda wake kuwaongela kwa mambo mengine.
Habari zaidi zinasema
msichana huyo aliudhika zaidi baada ya kuziona picha zilizo postiwa na mtandao
wa TMZ zilizomuonesha Justine akivuta
wida hotelin January mwaka huu.
Post A Comment: