KAKA WA KIM KARDASHIAN ASEMA
HAHITAJI KUJUA JINA LA
MTOTO WA
DADA YAKE
Kaka wa mzazi mwenza wa msanii Kanye west
anayetambulika kwa jina la Brody Jenner amesema kwa sasa haoni umuhimu wa yeye kufahamu jina la mtoto wa dada yake anayeitwa Kim
Kardashian.
Akizungumza katika interview na kituo kimoja cha radio, Jenner amesema hadi sasa hajui jina la
mtoto huyo na kuongeza kuna mambo mengi ya kufanya
na muhimu
zaidi ya hilo.
Ameongeza hadi sasa bado hajamuona mtoto huyo na
kuwa hajawa na uharaka wa kumuona ila siku akipata tym atamuona .
Tangu kuzaliwa kwa mtoto huyo kumekuwa na usiri
unaofanywa na wazazi wake juu ya kutoa taarifa mbalimbali za mtoto huyo.
Hata hivyo kuna baadhi ya mitandao iliyoripoti kuwa
jina la mtoto huyo tayari limekwisha fahamika na anaitwa North East japo wao
bado hawajasikika rasmi wakielezea jina hilo.
Post A Comment: