MSANII BARNABA AONDOKEWA NA MAMA YAKE
Msanii Banaba Elias maarafu kama Barnaba kutokaTanzania House of Talent (THT) amepatwa na msiba wa kuondokea na mama yake.
Habari zinasema msiba huo umetokea alfajiri ya leo nyumbani kwa mama yake Dar es salam ambapo mama yake huyo imeripotiwa alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya presha.
Rafiki wa karibu wa msanii huyo aitwaye Amini amethibitisha kutokea kwa msiba huo.
Habari zaidi kuhusu mazishi tutaendelea kukufahamisha kadiri tutakavyokuwa tukipata taarifa.
Inna lillah wa inna ilaih raajiuun. Mola ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi Aamin!!
Post A Comment: