Ni picha yenye kufurahisha inayomuonesha kocha wa zamani wa Man united Alex Ferguson akiwa katika mgahawa mmoja anapata chakula pamoja na wenzake mara
akakatiza binti mmoja aliyevaa nusu uchi kitendo kilichomuondolea uvumilivu a kocha huyo pamoja na wenzie na kuamua kumsindikiza kwa macho. Bado haijafahamika kama binti huyo alikuwa na lengo la kumdatisha kocha huyo au namna gani.
Axact

Post A Comment: