Justine Bieber |
Kwa mujibu wa mitandao ya habari nhini humo kuna taarifa zimeripotiwa kuwa Bieber anatakiwa kutoa fedha hizo ili kufanya ukarabati wa sehemu zilizoathirika na mayai aliyoyatupa ikiwa ni pamoja na maeneo ya milango.
Baadhi ya maeneo yaliyoathirika na mayai
Hivi karibuni msanii huyu alinaswa na kamera zilizomuonesha akiponda nyumba ya jirani yake huku akitoa lugha za matusi.
Post A Comment: