Wasanii mapacha kutoka nchini Nigeria wanaotamba na ngoma zao kibao ikiwamo Personally watoto wa familia ya Okoye Peter na Paul Okoye wameripotiwa kuandaa shererhe ya harusi  kwa pamoja.

Kwa mujibu wa mtandao wa mtv base mapacha hawa wanatarajiwa kufanya shererhe hiyo ya pamoja huko dubai au nchini Nigeria.
Habari zaidi zinasema sherehe hiyo inayotarajiwa kuwa ni miongoni mwa matukio makubwa kwa mwaka huu itawakutanisha kwa pamoja Paul na mwndani wake pia Peter na kimwana wake.

Hivi karibuni wasanii hawa walifanya shererhe ya kimila huko nchini Nigeria na mmoja kati ya wasanii walioalikwa alikuwa ni Diamond.
Axact

Post A Comment: