Msanii Ommy Dimpoz amekaririwa na vyombo vya habari akitupa lawama kwa producer wa
Am record Maneck kwa madai ya kuuvujisha wimbo wake uitwao Miss koikoi.
kwa mujibu wa Ommy wimbo huo ulirekodiwa miaka miwili iliyopita  na yeye hakuwa tayari kuuachia kwa madai ya kupitwa na wakati.
Ameeleza wimbo wimmbo huo haukuwa kwenye mipango yake kwa sasa lakini ameshangazwa na producer maneck kuuvujisha

Axact

Post A Comment: