Msanii toka nchini marekani Chriss Brown amemlaumu meneja wake kwa madai ya kuvujisha nyimbo za albamu yake mpya ya X.
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa twiter msanii huyu ameandika maelezo yanayoashiria kumtupia lawama meneja huyo wa zamani.
“My old manager is leaking my new Album and refuses to give me my back up hard drive to sabotage my album that’s F’d up G". alitweet Chriss
Kinachoonekana ni kuwa msanii huyo na meneja wake wa zamani huyo hawana uhusiano mzuri na hata hivyo bado hakuna taarifa kama kuna chochote amekizungumza producer huyo kufuatia shutuma hizo.
Kauli ya chriss Brown imekuja ikiwa ni muda mfupi tangu kuachia albaum yake mpya iitwayo “x”
Axact

Post A Comment: