Msanii wa muziki wa Bongo fleva Dully sykes amesema hivi karibuni ataachia wimbo mpya ambao amemshirikisha Diamond.
Msanii huyu amesema kuwa wimbo huo utaitwa Chipolopolo na anaamini utateka hisia za watu.
“Ni wimbo mzuri ambao naamini mashabiki wataupenda na umetayarishwa hapa hapa studio 4.12 na mimi ndiye producer. Hivi sasa tunajipanga tu kufanya video nzuri na Adam Juma ili wimbo ukitoka uwe na video pia…na itakua hivi karibuni ila ndani ya mwezi wa tatu.”Alisema Dully
Kutoka kwa wimbo huo unakuwa ni katika muendelezo wa ushirikiano kisanaa baina ya wasanii hao ambapo waliktana katika wimbo wa utamu ambao Ommy Dimpoz alihusika pia.
Axact

Post A Comment: