Msanii wa muziki wa RnB toka nchini Tanzania Ben pol ameelezea mikakati ya kuusafirisha muziki wake kimataifai.

Msanii huyu amenukuliwa na baahi ya vyombo vya habari nchini kuwa tayari amekwisha iweka albamu hiyo katika mitandao ya kimataifa kama Amazon.com na Itunes.

Pia msanii huyo ameongeza zaidi kuwa kwa kupitia mtandao mtu yeyote anaweza kunua albamu hiyo akiwa sehemu yoyote.

Hatua hii ya msanii huyu inakuja ikiwa ni katika hatua za kujitangaza na kupata soko kimataifa na albamu yake hiyo alioipa jina la Ben Pol inajumuisha nyimbo ishirini.
Axact

Post A Comment: