Kushoto ni George Zimmerman na Kulia na Msanii Kanye West |
Kwa mujibu wa mtandao wa Tmz kijana huyu amefikia uamuzi huo kutokaka na
kutoridhishwa na tabia ya Kanye west kuwashambulia watu wasio na hatia pia uwezo wa kupigana naye.
Habari zaidi zinasema kufuatia hali hiyo kijana huyu ameona kuna haja ya kuandaa pambano la kupigana na Kanye west kwa nia ya kumuonya asionee watu wasio weza kupigana naye.
Mtandao huo umeeleza kuwa licha ya kupatwa na mshangao kutokana na maamuzi ya kijana huyo mapromota wamesema kuwa wapo tayari kuandaa pambano hilo huko los Angeles endapo Msanii Kanye west ataridhia.
Hivi karibuni msanii huyu amefanya matukio ya kuwashambulia watu wawili kwa nyakati tofauti ambapo katika tukio la kwanza alimshambulia mwandishi mmoja na la pili alimshambulia kijana aliyedaiwa kumkashifu Kanye na mzazi mwenzake.
Post A Comment: