Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania Ali kiba amesema alikuwa kimya kutokana na ubize aliokuwa nao kama baba lakini pia kuusukuma Muziki wa mdogo wake aitwaye Abdul Kiba.
Msanii huyu ameeleza mbali na hayo pia hivi sasa yuko na management inayomsimamia na hivyo watu wasubiri vitu vizuri kutoka kwake.
“Sababu ya kuwa kimya ni kumpush Abdu Kiba aweze kuwa sawa sawa na vilevile mimi ni mzazi kwa hiyo niko busy na jinsi ya kuwa baba. Yaani vitu vingi vyote nilikuwa nikifanya, wakati muda wote niliokuwa nikifanya hivyo vitu nilikuwa najiandaa na albam yangu nyingine ambayo ni ujio mpya…nakuja na everything." alisema Ali kiba
Hata hii  ya msanii huyu imekuja kufatia kimya cha muda mrefu alichokuwa nacho kisai cha kuwapelekea mashabiki kujiuliza maswali yasioyo na majibu juu ya ukimya wake
Axact

Post A Comment: