Msanii Chriss brown ataendelea kuwa chini ya uangalizi wa serikali hadi hapo 20feb 2014.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka katika mahakama jijini Los Angeles
ambapo kesi ya msanii huyu inasikilizwa msanii huyu ataendelea kuwa katika uangalizi wakati mahakama hiyo ikifanya utaratibu wa kuupitia ushahidi wa tuhuma zake.
Kwa mujibu wa mtandao wa All hiphop.com msanii huyu alinusurika kupelekwa jela baada ya judge wa kesi hiyo James R. Brandlin,kuamua arudishwe katika uangalizi wakati wakiendelea kupitia ushahidi.
Post A Comment: