Msanii lady Jaydee ametangaza majina ya watu walioshinda shindano lake la kuwapata watu ishirini watakao kuwa wa kwanza kuiona video yake mpya.
Kupitia ukursa wake
wa face book msanii huyu ameandika majina hayo ikiwa ni pamoja na kuogeza idadi hadi kufikia 43.
Tazama alichokiandika hapochini
   

Lady Jaydee
JIBU: Wimbo wa Distance ulitoka mwaka 2004 mwishoni na umeimbwa kwa Lugha 7. Kiswahili, English, French, Lingala, Kiganda, Kizulu na Kirundi (sawa na Kinyarwanda)

Nimeongeza nafasi za upendeleo, badala ya nafasi 20 nimeweka nafasi 43.
Nimewahurumia pia wale waliosema ni lugha 7 lakini wakakosea mwaka wakasema 2005. Huenda ndio waliusikia wimbo mwaka huo.. Ila jibu sahihi ni 2004/Lugha 7.

WAFUATAO WANI INBOX NAMBA ZAO ILI WAPOKEE MIALIKO:
1. Jafar Nzowa
2. Subira Mwaipopo
3. Angel Chazy
4. Ommy Mzuzu Jr
5. Saly Kessy
6. Elizabeth Mwakajinga
7. Bavicha Vunjo
8. Dynamics Reginald.
9. Maitari M. Charles
10.Natalia Mashauri
11.Forest Ray Staford
12.Peter Severini
13.Emma Samuel
14.Maria Lupenza
15.Rwandiko Manumbi
16.Davy Mhere
17. Hamisi Matola
18.Lizy Mwamengo
19.Leonard Mvula
20.Laurean Deus
21.Juma Kabeya
22. Justus Titus
23. Majestic del Climax
HAO NDIO WASHINDI HALALI..

WAFUATAO WAMEPATA NAFASI YA UPENDELEO KWA KUJARIBU:
NAO PIA WANI INBOX NAMBA ZAO TUJUMUIKE:
24.Salim Kemibalo
25.Upendo John
26.Isha Wa J
27.Andrew Gordian
28.Akili Joram
29.Elisha Peter Wandiba
30.Johnson Martin
31.Mtu Mweusi Zaidi
32.Odas Erasto
33.EmmaNuel N ShamaNuel
34.Lilian Edom
35.Happy Silayo
36.Youyou Clever
37.Jackson Luambano
38.Sam Lyter
39.Damas Dickson
40.Acacia Rideout
41.Ahamad Nalinga
42.Rebeca Chaula
43.Magreth Appolinary
Axact

Post A Comment: