Wasanii kutoka jijini mwanza king silver,op mtata na nat.e wamevunja ukimya kwa kutoa wimbo mpya unaitwa “Zipate Tukujue”
Wasanii hawa wametoa wimbo huu ikiwa ni kazi yao ya kwanza
tangu kujiunga  na uongozi mpya wa Silca Music
Aidha wasanii hao wameamua kutoa wimbo huu ikiwa ni katika kuwajulisha mashabiki wao kuwa wapo,wako fiti na walikuwa kimya kutokana na kujipanga.
Pia wasanii hawa wameeleza kuwa wataendelea kutambulika kwa jina la wakubwa wa jiji kama walivyotambulika toka mwanzo

Kupitia ukurasa wake wa face book,msanii King Silver amewataarifu mashabiki wa muziki namna ya kuupata wimbo huo
King Silverr
Kama ni mshabiki na mdau wa wakubwa wa jiji na ungependa kupata wimbo wao mpya na una tumia whatsap tuma no yako in box tukumie wimbo huo unao julikana km ZIPATE TUKUJUE,Chini ya silca music rec producer charlee the best.

Sikiliza na download wimbo huu

Axact

Post A Comment: