Kuna uwezekano wa kurejea kwa yule msanii alyeshirikiana na Profesa Jay katika ngoma kibao ikiwemo Niamini ambayo Lady Jaydee alisikika.
Ni msanii anayeitwa Fanani ambaye alitokea kukubalika katika game lakini ghafla akapotea na jina lake likaanza kufifia katika muziki wa Bongo Fleva.
Kuna taarifa zinazoashiria kurudi kwa msanii huyu katika game akiwa na studio ya Swahiba wake Prof Jize iitwayo Mwanalizombe.
Hivi karibuni msanii Professor Jay alipost picha inaymuonesha yeye,producer wa studio hiyo pamoja na Fanani na kuandika maelezo yanayoonesha kuna kitu wanakifanya kwa ajili ya muziki.
"Ndani ya MWANALIZOMBE STUDIO'S Nipo na FANANI Na Producer VILLY. ... FAYAAAH!!!" aliandika Profesa Jay.

Post A Comment: