Msanii Joh makini amewataka wasanii waache kumjadili kwa mabaya msanii Diamond na badala yake watumie nguvu zao kubuni mambo yatakayowaletea maendeleo.
Kupitia ukurasa wake wa face book msanii huyu ameandika maelezo yanayo ashiria kumuunga mkono Diamond na kuwapinga wanaomsema vibaya kutokana na maendeleo yake.
Tazama alichokiandika hapo chini
Mafanikio Yanafanya Watu Waone Gere Na Masnitch Kuwa Wengi Miongoni Mwa Wasanii.In Reality Stop To Discuss Platinum In Bad Way# Weusi#
Axact

Post A Comment: