Siku chache baada ya baadhi ya wasanii wa bongo movie kujionesha wazi kuwa wanamapenzi na chama cha mapinduzi ccm,msanii Joh makini kutoka arusha ameamua kuweka wazi mapenzi yakena chama cha
demokrasia na mamendeleo chadema.
Ikiwa ni katika muendelezo wa wasanii katika tathnia mbalimbali kuonesha mapenzi yao na vyama vya siasa hapa nchini msanii huyu kupitia ukurarasa wake wa face book ameandika maelezo yanayoashiria kukiunga mkono chama cha chadema.
Hatua hii ya Joh inaonesha kujibu baadhi ya wasanii wa Bongo Movie wakiongozwa na Jb ambao walionekana katika sherehe za maadhimisho ya CCM,kwa wakati huo akiungana na wasanii kama Sugu,Prof Jay katika chama cha CHADEMA.

Tazama na soma alichokiandika hapo chini
 
We Need Changes Kwa Hii Society/ We Are Tired Na Green Colour Sasa M4c Harakati/ M4c Ni Shibe Kwa Wanaotaka Mabadiliko/ Watatuonea Gere Chadema Haturembi Muandiko ‪#‎CHADEMA#







Axact

Post A Comment: