Msanii wa filamu hapa nchini Kulwa Kikumba maarufu kama Dude amesema wasanii wengi wa bongo movie wanaishi maisha ya kuigiza na sio ya uhalisia.
Akizungumza kupitia
kipindi cha mikasi msanii huyu amesema wasanii wengi wanajionesha kwa watu kuwa wana maisha mazuri na kumbe wana maisha ya tabu.
 ameeleza kumekuwa na matukio ya udhalilishaji yanayotokea kwa wasanii kwa kunyang’anywa vile vitu ambavyo walijitangaza kuwa ni vyao.

Msanii huyu amewashauri wasanii wenzake kachana na tabia hiyo na kuishi maisha halisi.

Aidha msanii huyo amesema hivi sasa sanaa ya filamu imeshuka tangu kfariki kwa kanumba.
Ameeleza sababu ya kushuka kwa soko la filamu limetokana na wasanii wenyewe kutojihangaisha kutafuta soko la nje.
Axact

Post A Comment: