Msanii Juma Kasimu Kiroboto anayefahamika kama Juma nature ameamua kumfagilia Msanii wa filamu hapa nchini Kulwa Kikumba maarufu kama Dude.

Kupitia ukurasa wake wa face book Juma nature ameandika kuwa anamkubali Dude na kuwaomba mashabiki wake ku like ukurasa wa Dude ili kupata habari mbali mbali Kumuhusu.
Soma alichokiandika hapo chini

JUMA NATURE
Wanangu wote najua mko poa, dah! kitambo sanaaa,. Namtambulisha kwenu mkali wa wacheza filamu ambaye namkubali sanaa, huyu anayejiita YAHAYA. Unaweza ukaLIKE ukurasa wake uweze kupata mambo yake yote. Nganda kala mbwanda, wa2 mwaaduh.
Axact

Post A Comment: