Taarifa kutoka kwa msanii toka nchini nigeria anayefahamika kwa jina la j martins zinasema amepata mtoto
Kupitia ukurasa wake wa face book leo hii msanii huyu
amendika kuwa anashukuru kwa kuwa hivi sasa anaitwa baba na kuwa mama pamoja na mtoto huyo wako salama.
Msanii huyu amefunguka kuwa kuwa mtoto huyo anaitwa Jason
Soma alivyoandika hapo chini
"Good morning everyone, Thank God am now a proud Father of a Bouncing Baby BOY and his Name is JASON! My 1st born, both Mother Baby & Father are fine and in Good condition, join us and Thank God Almighty".
Post A Comment: