Msanii Young D amesema ametumia shilingi mil 37 kunusuru nyumba yao iliyokuwa hatarini kuuzwa ili kufiidia deni la benki.
Akizungumza na
kituo cha times fm jijini Daresalam msanii huyu amesema amefikia uamuzi huo ili kujinusuru pia kuinusuru familia yake kukumbwa na aibu ya kushindwa kulipa deni ambalo aliliacha baba yao.
Msanii huyu ameongeza mbali na kulipa deni hilo pia amekwishaanza kujipanga kwa ajili ya kufanya marekebisho ya nyumba hiyo ambayo tayari ameisajili upya.
Axact

Post A Comment: