Msanii wa hiphop kutoka mkoani Arusha Tanzania Joh
makini ameonesha kukerwa na tabia za baadhi ya watu wanaoweka picha zao au
maelezo katika kurasa za wenzao katika mitandao ya kijamii bila taarifa.
Kupitia kurasa wake wa Face book msanii huyu
ameandika hahitaji kuona mtu ana tag picha yake katika ukurasa wake wa face
book
“Please!
Don't Tag Me Your Photo”
Tabia
hii imekuwa ikikera watu wengi na sio Joh pekee huenda hata wewe ukawemo.Je,ni hatua gani unazichukua kudhibiti hali hiyo?
Post A Comment: