Msanii wa muziki  hapa nchi Tunda man amesema kuna haja ya kuwepo na ushirikiano baina ya watangazaji na wasanii katika kupinga vitendo vya wizi wa
kazi za wasanii.akizungumza katika kipindi cha Extra Vaganza cha Afya radio Mwanza msanii huyu amesema ili kufikia malengo ya kutokomeza wizi wa kazi ni muhimu watangazaji wakapigia kelele swala hilo na sio wasanii pekee.
Aidha Tunda Man amewaomba watanzania kununua kazi original ili kuwasapoti wasanii na sio kununua feki kwani zinamdidimiza msanii.
Msikilize hapa

Axact

Post A Comment: