Msanii Profesor Jay yuko mbiono kachia kitu akiwa na msanii mkongwe Suma G.
Kupitia
ukurasa wake wa face book msanii huyu amepost picha inayomuonesha yeye na msanii Suma G huku akiambatanisha na maneno yanayoashiria wapo jikoni wakitengeneza ngoma.
"Nipo MWANALIZOMBE STUDIOS sasa hivi na Mwanangu SUMA G( Uswahilini kuna vituko)....Tunapika muziki wa hatari!!!Stay Tuned."
Post A Comment: