Kiongozi wa kundi la mtanashati entertainment Ostaz Juma na Musoma amesema hawezi kumsaidia tena msanii Pnc kwa kuwa amemkosea adabu.
Akiongea na bongo20 kiongozi huyu amesema alimsaidia
Pnc kwa wema kwa kuwa pnc alimfuata na kumuomba amsaidie na baada ya kumsaidia na kupata maisha mazuri hivi sasa ameamua kumkosea.

“ PNC alikuja kwangu akatia unyonge nikaona nimsaidie,tatizo wasanii wengi wa bongo hawana nidhamu.mimi Pnc nimemsaidia lakini ameanza kuniletea vituko vya  ajabu”

Kiongozi huyu amefikia hatua hii kufuatia kauli aliyoitoa msanii Pnc ya kuwa yuko njia pnda na haelewi kama yuko chini ya mtanashati au lah.
Msikilize hapa


Axact

Post A Comment: