Kijana mmoja mwenye(26) anayetanbulika kwa jina la David Campaya amekamatwa na polisi nchini Hispania kwa kitendo cha kibaguzi alichokionesha kwa mchezaji wa Barcelona Daniel Alves kwa kumtupia ndizi. Taarifa kutokaa katika club ya Viller real anayoiunga mkono zinasema club hiyo imemfungia kutazama mechi zilizosalia na kuwa imemfungia maisha.Kitendo hicho cha kutupa ndizi kimechukuliwa kwa mtazamo hasi na watu wengi dunian ambapo wameonesha kumuunga mkono Alves kwa kitendo cha kuila ndizi ile ambapo watu wengi wamekuwa wakipost picha katika mitandao ya kijamii zinazowaonesha wanakula ndizi.

Post A Comment: