Baadhi ya wapenzi wa muziki na burudani kwa ujumla jijini Mwanza wameonesha kukubali alichokifanya msanii toka nchini Uganda Dr.Jose Chameleon.Wakizungumza na bingo 20 mashabiki hao wamelisema Chameleon alifanya kitu kikubwa kiasi cha kuwaridhisha mashabiki wake.Waliongeza kuwa alichokifanya kinaonesha kuwa alijiandaa na kuwashauri wasanii wa hapa nchini kuongeza juhudi zaidi wawapo jukwaani.
Chemeleon akiwapagawishaa mashabiki |
Chameleon akiwa na kiongozi wa bendi inayotumbuinza Villa park |
Post A Comment: