David Alba
Baadhi ya
mashabiki wa Arsenal bado wana hamu ya kuona klabu yao inasajili mchezaji
mkubwa majira haya ya kiangazi.
Leo
zimetoka tetesi kwamba, nyota wa Bayern Munich, David Alba anaweza
kutua Emirates.
Alba
mwenye miaka 23 ni injini ya Bayern, anaweza kucheza kama kiungo au Mlinzi.
Kutokana
na umuhimu wake katika klabu ya Bayern, inaonekana tetesi ya kutua Arsenal ni
ndoto ya mchana.
Tetesi ya
Alba kutua Arsenal imeanzaje?
Mtumiaji
wa Twitter@arsenalbarclays, mwenye wafuasi 14,000 ameeneza umbea huo
akisema kwamba amesoma stori hiyo kwenye gazeti la jana la beIN
Sports .
Post A Comment: