Mteuliwa wa chama
cha mapinduzi katika mbio za kuwania kiti ch uraisi katika uchaguzi mkuu mwaka
huu waziri john magufuli amesema atahakikisha analeta maendeleo kwa wananchi
wote bila kujali itikadi endapo atapita katika kiti hicho.
Katika mkutano wa
kumtangaza rasmi kiongozi huyo huyo amesema licha ya kuwa taifa lina wananchi
kutoka vyama tofauti atahakikisha ana boresha maisha kwa kila mwananchi
Magufuli alisema
hayo katka mkutano uliofanyika katika uwanja wa jamhuri mjin dodoma.
Wakati huo huo
kuna taarifa zina sema muungano wa vyama vya umoja wa katiba ukawa umesema hautishwi
na uteuzi wa magufuli.
Post A Comment: