Kuendelea kutumika kwa mifuko ya
plastiki kubebea au kufunikia chakula cha moto kumeelezwa kuendelea kuleta
uwezekano wa kuwaathiri watumiaji.
NI kawaida ka wauza chips,mamalishe
au kina mama wa majumbani kutumia mifuko ya plastiki kubebea au kufunikia
vyakula wakati wanapopika hasa wali.
Vitendo hivyo vinaelezwa kuwaathiri
watumiaji wa vyakula hivyo vilivyopiia katika mifuko hiyo vikiwa vya moto
kutokana na kuyeyuka kwa baadhi ya kemikali za kutengeneza mifuko hiyo.
Mtaalamu wa afya kutoka hospitali ya
Cf iliyopo jijini Mwanza Dr. Ibrahimu Bakari anasema mwenendo
huo una madhara makubwa na kuwa wanapaswa kutumia vifungashio visivyo vya
plastiki.
Kwa
undani zaidi bonyeza hapo chini
Post A Comment: