Watu wanaosumbuliwa na matatizo ya mtoto wa jicho wametakiwa kushughulikia matatizo hayo haraka kufika kwa wataalamu wa macho ili kuepukana na  tatizo la upofu.
Daktari wa macho kutoka kituo cha tiba ya macho cha kariakoo eye centre daktari zefania masologo amesema sababu zinazochangia upofu ni pamoja na ugonjwa mtoto wa jicho.
Ameongeza ni vyema kushughulikia tatizo hilo mapema kabla halijawa kubwa.
Mbali na hivyo amewataka wanaosumbuliwa na macho kufuata ushari wa wataalamu na sio kujiamulia wao binafsi kupatiwa aina ya tiba.
Zaidi bofya hapo chini kumsikiliza Daktari huyo

Axact

Post A Comment: